RED CROSS YAWAFAFANULIA WATANZANIA UMUHIMU NA MAANA YA NEMBO YA SHIRIKA HILO




Image result for Nembo ya redcross tanzaniaChama cha Msalaba Mwekundu Tanzania (TRCS)  kimeungana na vuguvugu la vyama vya Msalaba Mwekundu Duniani kuadhimisha siku ya Msalaba Mwekundu Duniani.

Katika maadhimisho hayo Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania kimezindua kampeni ya kitaifa kuelimisha na kuhamasisha jamii kuhusu matumizi sahihi ya nembo ya ‘Red Cross’.


Kampeni hii itaenda sambamba na mchakato wa kurekebisha sheria ya mwaka 1962 namba 71, iliyoanzisha Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania ili iendane na mazingira ya sasa.


Ikiwa ni pamoja na kuainisha adhabu kwa wanaotumia vibaya nembo ya Red cross.

Kaulimbiu ya kampeni ya Kampeni hii ni “ILINDE NEMBO YA RED CROSS ILI IKUSAIDIE”.




UJAMAA ORPHANAGE FOUNDATION (UOF) - Pride in the community 
     Follow us on www.facebook.com/ujamaaorphanagefoundation



0 comments: