Wanahabari watoto
Tanzania wakiandaa habari zinazohusu watoto. Picha@UNICEF (posted on
27/01/2015
Nchini Tanzania,
serikali imekuwa inajitahidi kuendeleza hali ya haki za watoto. Mafanikio
hayo yamepongezwa katika mkutano wa 68 wa kamati ya haki za watoto
unaoendelea mjini Geneva, Uswisi. Hata hivo, changamoto nyingi bado zipo,
ikiwemo ndoa na mimba za utotoni. Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia
watoto, UNICEF pamoja na Mtandao wa Wanahabari Watoto Tanzania limeunda kampeni
ya kuelimisha jamii kupitia matangazo ya redio. Kulikoni? Ungana na Priscilla
Lecomte kwenye makala hii.
Source;
http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/2015/01/unicef-na-kampeni-kuhusu-haki-za-watoto/#.VVDP0S6LW9s
UJAMAA ORPHANAGE FOUNDATION -PRIDE IN THE COMMUNITY
www.facebook.com/ujamaaorphanagefoundation
0 comments: