YALIYOJILI HIVI KARIBUNI....
10:49 PM
By
Ujamaa Orphanage Foundation
2
comments
ILIKUWA NOVEMBA..., WANACHAMA WA UJAMAA ORPHANAGE FOUNDATION (UOF) WALIPOAMUA KUTEMBELEA KITUO CHA MALEZI KWA WATOTO CHA KILI CENTRE MKOANI KILIMANJARO.
akikabidhi baadhi ya vitu kwa uongozi wa kili centre
Kiongozi wa UJAMAA ORPHANAGE FOUNDATION
(UOF) akifafanua jambo...
Baadhi ya vitu ambavyo vilipelekwa Kili centre na UOF
Baadhi ya wanachama wa UJAMAA ORPHANAGE FOUNDATION
(UOF) wakitabasamu na watoto/vijana wa kili centre
Baadhi ya wanachama wa UJAMAA ORPHANAGE FOUNDATION
(UOF) wakifurahi pamoja na wenyeji wao...
Wanachama wa UOF na wenyeji wao wakiwa nanasikiliza hishoria
fupi ya kill centre kutoka kwa mlezi (pichani hayupo)
( UOF) akionyesha upendo kwa mwenyeji wake
Mwanachama wa UJAMAA ORPHANAGE FOUNDATION
(UOF) akiwa ametabasamu pamoja na vijana wa Kili centre
Kiongozi wa UJAMAA ORPHANAGE FOUNDATION (UOF)
akiwa ananena jambo na Mlezi wa Kili centre
Mlezi wa Kili centre akimsisitizia kijana wake jambo...
Kiongozi wa UJAMAA ORPHANAGE FOUNDATION (UOF)
akiwaonyesha baadhi ya vifaa vya shule kwa ajili ya watoto/vijana
wa Kili centre
Baadhi ya wanachama wa UJAMAA ORPHANAGE FOUNDATION
(UOF) wakiwa makini kusikiliza jambo
ONE LOVE!!
Mwanachama wa UJAMAA ORPHANAGE FOUNDATION (UOF)
akiwa anawasimulia hadithi vijana/watoto wa Kili centre
UJAMAA ORPHANAGE FOUNDATION (UOF);
we are caring the community...
YEAH TS A GOOD START BROTHERS BENACHIKO ENTREPRENEURSHIP CONNECTION WISHES YOU ALL THE BEST IN YOUR UNDERTAKINGS AND WILL CONTINUE ENCOURAGING YOU BY GIVING MORAL AND TECHNICAL SUPPORT WHERE EVER THERE WILL BE POSSIBILITIES SO AS TO ATTAIN YOUR TARGETED GOALS OF SPREADING THE HEART OF LOVE,PEACE AND TRANSPARENCY IN THE COMMUNITY BY HELPING OUR FELLOWS IN ONE WAY OR ANOTHER.
ReplyDeleteNASI TUNATAMANI SANA KUSHIRIKI NANYI SO IF IT HAPPENS AGAIN PLEASE CONCERT US FOR COLLABORATION.
ReplyDelete