TUSHIRIKIANE KWA PAMOJA KUONYESHA UPENDO KWA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU...
3:22 PM
By
Ujamaa Orphanage Foundation
0
comments
Ilikuwa Januari 2014, wanachama wa UJAMAA ORPHANAGE FOUNDATION (UOF) walipoenda kutembelea kituo cha UPENDO kilichopo Moshi mkoani Kilimanjaro ambacho kinalea watoto wenye umri kati ya mwaka sifuri hadi mitano (0-5)... Baada ya kufika hapo tulipokelewa na Mama Mlezi (M.Kimaryo) wa watoto hao ambaye alikuwa zamu kwa siku hiyo, na kupata historia fupi ya kituo hicho cha kulelea watoto.
Utaratibu wa kupokea watoto hao kwa ajili ya kuwalea huwa unaanzia Ustawi wa jamii baada ya kujaza baadhi ya fomu (hii ni kwa mujibu wa mlezi huyo)
Pia kituo cha kulelea watoto cha Upendo kina-Chuo ambacho kinatoa mafunzo ya nadharia namna ya kuwalea watoto katika jamii zetu tunazoishi.....!!!
MAMBO YAKAWA HIVI...!!!!
UJAMAA ORPHANAGE FOUNDATION (UOF)...
...WE CARE THE COMMUNITY!!!!
0 comments: